Photos: Recent submissions
Now showing items 41-60 of 150
-
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Balozi Peter Kallaghe (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu Masuala ya Itifaki
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Balozi Peter Kallaghe (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu Masuala ya Itifaki Kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu ... -
Mtaalamu wa Masuala ya Uongozi, Bi. Zuhura Muro akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Mtaalamu wa Masuala ya Uongozi, Bi. Zuhura Muro akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo wakati wa kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika ... -
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas akitoa mada kuhusu Mawasiliano ya Kimkakati Serikalini
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas akitoa mada kuhusu Mawasiliano ya Kimkakati Serikalini wakati wa kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika ... -
Mhe. Balozi Mstaafu, Peter Kallaghe akitoa mada kuhusu Itifaki kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Mhe. Balozi Mstaafu, Peter Kallaghe akitoa mada kuhusu Itifaki kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye siku ya pili ya Kikao cha Faragha kwa viongozi hao kilichofanyika mkoani Morogoro -
Baadhi ya Watumishi wa Umma walioshiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Baadhi ya Watumishi wa Umma walioshiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho yaliyofanyika mkoani Singida. -
Mtumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Godwin Rubagumya akiendelea na shamrashamra za Siku ya Wafanyakazi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Mtumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Godwin Rubagumya akiendelea na shamrashamra za Siku ya Wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya sherehe hizo yaliyofamyika mkoani Singida. -
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hayupo pichani)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika ... -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikilizaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (Hayupo pichani)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikilizaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (Hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika ... -
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Umma pamoja na wananchi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Umma pamoja na wananchi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika mkoani Singida. -
Msajili wa Mahakama ya Tanzania, Bi. Eva Nkya akimkabidhi cheti cha ushiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Msajili wa Mahakama ya Tanzania, Bi. Eva Nkya akimkabidhi cheti cha ushiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Salehe Manoro wakati wa maadhimisho hayo yanayoendelea ... -
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akiwa na watumishi wa Ofisi ya Wakili
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akiwa na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye banda la Ofisi hiyo alipotembelea Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea Jijijni Dodoma. -
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akisaini vitabu vya Taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Sheria
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi akisaini vitabu vya Taasisi zinazoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Sheria baada ya kutembelea mabanda ya maonesho ya Taasisi hizo kwa lengo la kuona namna Taasisi hizo zinavyotekeleza ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimsikiliza Afisa Uchunguzi Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu Bi. Eugenia Lohay
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akimsikiliza Afisa Uchunguzi Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu Bi. Eugenia Lohay alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea Jijini Dodoma. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Usimamizi wa Mashauri wa Mahakama Kuu ya Tanzania
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Usimamizi wa Mashauri wa Mahakama Kuu ya Tanzania alipotembelea Banda la Mahakama ya Tanzania kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi, akiwasili kwenye viwanja vya Nyerere Square
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi, akiwasili kwenye viwanja vya Nyerere Square alipotembelea mabanda ya wadau mbalimbali wanaoshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea Jijini Dodoma kwa lengo la kuona namna ... -
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (watatu kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (watatu kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) na Viongozi Waandamizi wa Ofisi ya ... -
Viongozi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) na Viongozi Waandamizi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Viongozi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) na Viongozi Waandamizi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) ... -
Mkuu wa Idara ya Utetezi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Paul Kisabo
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Mkuu wa Idara ya Utetezi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Paul Kisabo akitoa neno la shukurani mara baada ya kikao na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini Dar es Salaam. -
Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji akielezea lengo la ziara hiyo walipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini Dar es Salaam