Msajili wa Mahakama ya Tanzania, Bi. Eva Nkya akimkabidhi cheti cha ushiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria
Abstract
Msajili wa Mahakama ya Tanzania, Bi. Eva Nkya akimkabidhi cheti cha ushiriki wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Salehe Manoro wakati wa maadhimisho hayo yanayoendelea Jijini Dodoma.
Collections
- Photos [116]