Browsing Photos by Title
Now showing items 1-20 of 144
-
Afisa Lishe wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Bi. Neema Mwakasege akitoa mada kuhusu mtindo bora wa Maisha
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Afisa Lishe wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Bi. Neema Mwakasege akitoa mada kuhusu mtindo bora wa Maisha wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Afisa Mazingira wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bi. Evansia Shirima akitoa mada
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Afisa Mazingira wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bi. Evansia Shirima akitoa mada kuhusu mazingira wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji akielezea lengo la ziara hiyo walipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini Dar es Salaam -
Afisa Sheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Bi. Anna Gabriel akitoa mada
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Afisa Sheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Bi. Anna Gabriel akitoa mada hukusu namna ya Kushughulikia Migogoro katika Kusimamia Masoko ya Mitaji wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika ... -
Afisa Tehama Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Faraja Komba akitoa mada
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Afisa Tehama Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Faraja Komba akitoa mada kuhusu Matumizi sahihi ya baadhi ya Mifumo ya Kiutumishi wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unavyofanya kazi wakati wa Kikao cha Watumishi wote kilichofanyika Jijini ... -
BAADHI YA WAJUMBE WA MENEJIMENTI NA KAMATI YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIMSIKILIZA NWMS.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Baadhi ya wajumbe wa manejimenti na kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao kuhusu ... -
Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mtalaamu wa Uongozi, Bi. Zuhura Muro
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mtalaamu wa Uongozi, Bi. Zuhura Muro wakati akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo wakati wa kikao cha ... -
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam. -
Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwa wamevalia kofia za kitalii
(Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali; Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 2022-05-28)Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwa wamevalia kofia za kitalii zenye majina ya Hifadhi za Taifa zinazopatikana nchini. -
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud ... -
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hayupo pichani)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika ... -
Baadhi ya Watumishi wa Umma walioshiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Baadhi ya Watumishi wa Umma walioshiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho yaliyofanyika mkoani Singida. -
Dakitari Bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt. Garvin Kweka akitoa mada kuhusu namna ya kukabiliana na msongo wa mawazo
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Dakitari Bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt. Garvin Kweka akitoa mada kuhusu namna ya kukabiliana na msongo wa mawazo wakati wa mafunzo kwa watumishi wa ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama hiyo wakati wa ziara ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. ... -
Jaji Kiongozi, Mhe. Mustapher Siyani akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikal
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji Kiongozi, Mhe. Mustapher Siyani akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mercy Kyamba akimpa maelezo kuhusu utendaji wa Ofisi hiyo alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ... -
Jaji Mkuu wa Malawi, Mhe. Rizine Mzikamanda akisaini kitabu cha wageni
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji Mkuu wa Malawi, Mhe. Rizine Mzikamanda akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika unaofanyika ... -
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania (Arusha), Mhe. Nyigulila Mwaseba akisaini kitabu cha wageni.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania (Arusha), Mhe. Nyigulila Mwaseba akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki ... -
Jaji wa Mahakama ya Biashara Tanzania, Mhe. Dkt. Deo Nangela akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji wa Mahakama ya Biashara Tanzania, Mhe. Dkt. Deo Nangela akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki ... -
Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akitoa mada kuhusu namna ya kujenga uaminifu katika uendeshaji wa Mashauri ya Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akitoa mada kuhusu namna ya kujenga uaminifu katika uendeshaji wa Mashauri ya Serikali wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha.