Welcome to the Office of Solicitor General e-Library

The OSG e-Library is a comprehensive digital platform dedicated to the collection, preservation, and dissemination of critical legal information. It serves as an essential resource for legal research in civil litigation, equipping users with timely and relevant legal updates through the Current Awareness Service (CAS). Additionally, it enriches the legal repository with a wide range of e-publications, including constitutions, statutes, and other pivotal legal documents, ensuring seamless access to authoritative legal resources.

Browse Contents by Alphabet

Click a letter to see all contents whose title starts with it.

Recent Submissions

  • Item type:Item, Access status: Open Access ,
    SHERIA YA KUFUTA SHERIA YA TASNIA YA PARETO, NA. 4 YA MWAKA 2026
    (The Government Printer, Dodoma by Order of Government, 2026-10-02) BARAKA ILDEPHONCE LEONARD
    Sheria ya kufuta Sheria ya Tasnia ya Pareto na kuweka masharti kuhusu uhamisho wa mali, madeni pamoja na watumishi wa Bodi ya Pareto, kuweka masharti ya mpito na masuala mengine yanayohusiana na hayo.
  • Item type:Item, Access status: Open Access ,
    THE AGRICULTURAL LAWS (AMENDMENTS) ACT, NO. 3 OF 2026
    (The Government Printer, Dodoma by Order of Government, 2026-10-02) BARAKA ILDEPHONCE LEONARD
    An Act to amend certain agricultural laws with a view to improving the regulation, administration and development of agricultural sector and related matters.
  • Item type:Item, Access status: Open Access ,
    KATIBU MKUU WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, DKT. SEIF SHEKALAGHE AKIZUNGUMZA NA UONGOZI NA MENEJIMENTI YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKATI WA KIKAO KAZI KILICHOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.
    (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2026-10-05) OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
    Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akizungumza na uongozi na menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam
  • Item type:Item, Access status: Open Access ,
    BI. MWAJUMA SIHIYANA, MTUMISHI MSTAAFU WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI AKIZUNGUMZA NA KUTOA NENO LA SHUKRANI KWA WATUMISHI WA OFISI HIYO WAKATI WA HAFLA YA KUMUAGA ILIYOFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.
    (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2026-10-05) OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
    Prisca Osg Madam: Bi. Mwajuma Sihiyana, mtumishi mstaafu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali akizungumza na kutoa neno la shukrani kwa watumishi wa Ofisi hiyo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akizungumza kwa niaba ya watumishi wa Ofisi hiyo wakati wa hafla ya kumuaga mtumishi mstaafu wa Ofisi hiyo, Bi. Mwajuma Sihiyana iliyofanyika jijini Dar es Salaam
  • Item type:Item, Access status: Open Access ,
    WAKILI DAVID KAKWAYA, MKURUGENZI MSAIDIZI WA USULUHISHI WA NDANI KUTOKA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI AKIPOKEA CHETI CHA PONGEZI KILICHOTOLEWA NA TIAC KWA KUTAMBUA NA KUTHAMINI MCHANGO WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI.
    (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2026-10-07) OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
    Wakili David Kakwaya, Mkurugenzi Msaidizi wa Usuluhishi wa Ndani kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali akipokea cheti cha pongezi kilichotolewa na TIAC kwa kutambua na kuthamini mchango wa Ofisi hiyo kwenye Kongamano la Wiki ya Usuluhishi wa Migogoro ya Kibiashara Tanzania lililofanyika jijini Dar es Salaam.
  • Item type:Item, Access status: Open Access ,
    WAKILI MKUU WA SERIKALI DKT. ALLY POSSI AKIZUNGUMZA NA UONGOZI WA CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI TANZANIA.
    (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2026-10-07) OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
    Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na uongozi wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (hawapo pichani) walipomtembelea Ofisini kwake kujitambulisha jijini Dar-es-Salaam. Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), ndugu Bonaventure P. Mwambaja, akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) baada ya kusaini kitabu cha wageni alipofika kujitambulisha Ofisini kwake jijini Dar-es-Salaam.
  • Item type:Item, Access status: Open Access ,
    THE LAND TRANSPORT REGULATORY AUTHORITY ACT, CHAPTER 413 (R.E 2023 A.S. 2025)
    (GOVERNMENT PRINTER, 2025-10-28) HAMZA S. JOHARI
    An Act to make provisions for the establishment of Land Transport Regulatory Authority, to regulate land transport sector, to repeal the Surface and Marine Transport Authority and for related matters.
  • Item type:Item, Access status: Open Access ,
    THE TAX ADMINISTRATION ACT, CHAPTER 438 (R.E 2023 A.S. 2025)
    (GOVERNMENT PRINTER, 2025-10-28) HAMZA S. JOHARI
    An Act to consolidate provisions relating to tax administration with a view to easing the administration of tax and enforcement of tax laws by the Tanzania Revenue Authority; to introduce currency point system in tax administration; and to provide matters incidental thereto.