Mtaalamu wa Masuala ya Uongozi, Bi. Zuhura Muro akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo
Abstract
Mtaalamu wa Masuala ya Uongozi, Bi. Zuhura Muro akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo wakati wa kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro.
Collections
- Photos [116]