Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Usimamizi wa Mashauri wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Abstract
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mkurugenzi Msaidizi Usimamizi wa Mashauri wa Mahakama Kuu ya Tanzania alipotembelea Banda la Mahakama ya Tanzania kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea Jijini Dodoma.
Collections
- Photos [140]