OSG e-Library
The OSG e-Library is a comprehensive digital platform dedicated to the collection, preservation, and dissemination of critical legal information. It serves as an essential resource for legal research in civil litigation, equipping users with timely and relevant legal updates through the Current Awareness Service (CAS). Additionally, it enriches the legal repository with a wide range of e-publications, including constitutions, statutes, and other pivotal legal documents, ensuring seamless access to authoritative legal resources.
OSG Library Communities
Select a community to browse its collections.
CASE SUMMARY [60]
FLY NOTE [8]
GALLERY [146]
GOVERNMENT GAZETTE [11]
JUDGMENTS [629]
LEGISLATIONS [573]
OSG PUBLICATIONS [16]
Recently Added
-
NOTISI YA KUSUDIO LA KUHAMISHA MAKABURI KATIKA ENEO LA KISHENGE MANISPAA YA BUKOBA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 231
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)KWA KUWA, kwa mujibu wa kifungu cha 3 cha Sheria ya Uhamishaji wa Makaburi, Sura ya 72, Waziri mwenye dhamana ya ardhi amepewa mamlaka, endapo atajiridhisha kuwa eneo la ardhi lenye makaburi linahitajika kwa madhumuni ya ... -
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 230
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu za Mwaka 2025, na zitasomwa pamoja na Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa ... -
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UINDAJI WA KITALII ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 229
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za Mwaka 2024 ambazo katika Kanuni hizi zinarejewa kama “Kanuni kuu”. -
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA UVUVI KATIKA MAENEO YA HIFADHI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 228
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Usimamizi wa Shughuli za Uvuvi katika Maeneo ya Hifadhi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Usimamizi wa Shughuli za Uvuvi katika Maeneo ya Hifadhi ... -
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTARATIBU WA USAFIRISHAJI WA VENIA KWENDA NJE YA NCHI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 227
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia Kwenda Nje ya Nchi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia Kwenda Nje ya Nchi ...