NOTISI YA KUSUDIO LA KUHAMISHA MAKABURI KATIKA ENEO LA KISHENGE MANISPAA YA BUKOBA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 231
Abstract
KWA KUWA, kwa mujibu wa kifungu cha 3 cha Sheria ya Uhamishaji wa Makaburi, Sura ya 72, Waziri mwenye dhamana ya ardhi amepewa mamlaka, endapo atajiridhisha kuwa eneo la ardhi lenye makaburi linahitajika kwa madhumuni ya umma, kuondoa makaburi au maiti katika eneo hilo na kuyahamishia au kuwazika tena katika eneo atakaloidhinisha;
Collections
- Subsidiary Legislation [230]