KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UINDAJI WA KITALII ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 229
Abstract
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za Mwaka 2024 ambazo katika Kanuni hizi zinarejewa kama “Kanuni kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [230]