KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTARATIBU WA USAFIRISHAJI WA VENIA KWENDA NJE YA NCHI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 227
Abstract
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia Kwenda Nje ya Nchi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia Kwenda Nje ya Nchi za Mwaka 2024, ambazo hapa zinarejewa kama “Kanuni kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [230]