KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA UVUVI KATIKA MAENEO YA HIFADHI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 228
Abstract
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Usimamizi wa Shughuli za Uvuvi katika Maeneo ya Hifadhi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Usimamizi wa Shughuli za Uvuvi katika Maeneo ya Hifadhi za Mwaka, 2024
ambazo hapa zimerejewa kama “Kanuni kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [230]