OSG Repository: Recent submissions
Now showing items 1-20 of 1457
-
THE PLANT PROTECTION REGULATIONS, 1999 GOVERNMENT NOTICE NO. 401
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 1999-11-19)These regulations may be cited as the plant protection regulations, 1999 -
TAMKO LA SHUGHULI ZA RAIS KUANZISHA NA KUTUNUKU NISHANI LA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 264
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-25)KWA KUWA, kifungu cha 4 cha Sheria ya Shughuli za Rais, Sura ya 9, kinampa mamlaka Rais kuanzisha na kutunuku Nishani na Tuzo; NA KWA KUWA, Rais anakusudia kuwatunuku Nishani watu ambao ameridhika kwamba kwa vitendo na ... -
THE PRESIDENTIAL AFFAIRS (INSTITUTION AND CONFERMENT OF HONOURS, DIGNITIES AND AWARDS) PROCLAMATION, 2025, GOVERNMENT NOTICE No. 263
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-25)WHEREAS, Section 4 of the Presidential Affairs Act, Cap. 9, empowers the President to institute and confer honours, dignities and awards; AND WHEREAS, the President is satisfied that it is necessary to institute such ... -
THE LAWS REVISION (DATE OF COMING INTO FORCE OF THE REVISED EDITION, 2023) PROCLAMATION, 2025, GOVERNMENT NOTICE NO. 262
(2025-04-25)In exercise of the powers conferred upon the President by section 12 of the Laws Revision Act, I SAMIA SULUHU HASSAN, the President of the United Republic of Tanzania do hereby approve the Revised Edition, 2023 of the ... -
NOTISI YA KUTANGAZA TOLEO RASMI LA TAFSIRI YA KIINGEREZA YA KANUNI ZA UNUNUZI WA UMMA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 261
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-25)Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kutangaza Toleo Rasmi la Tafsiri ya Kiingereza ya Kanuni za Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2025 -
KANUNI ZA MSAADA WA KIUFUNDI KWA WAMILIKI WA LESENI NDOGO ZA UCHIMBAJI MADINI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 260
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-25)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Msaada wa Kiufundi kwa Wamiliki wa Leseni Ndogo za Uchimbaji Madini za Mwaka 2025. -
THE EXCISE (MANAGEMENT AND TARIFF) (REMISSION) (PRODUCTION OF UNDENATURED ETHYL ALCOHOL) (MACHUGU INVESTMENT) (AMENDMENT) ORDER, 2025, GOVERNMENT NOTICE NO. 254
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-25)This Order may be cited as the Excise (Management and Tariff) (Remission) (Production of Undenatured Ethyl Alcohol) (Machugu Investment) (Amendment) Order, 2025 and shall be read as one with the Excise (Management and ... -
THE MINING (MINERAL RIGHTS) (AMENDMENT) REGULATIONS, 2025, GOVERNMENT NOTICE NO. 253
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-25)These Regulations may be cited as the Mining (Mineral Rights) (Amendment) Regulations, 2025 and shall be read as one with the Mining (Mineral Rights) Regulations, 2018 hereinafter referred to as the “principal Regulations”. -
NOTISI YA UTEUZI WA WATAALAMU WA UCHUNGUZI WA KOMPYUTA NA SIMU YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 250
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-18)Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Uteuzi wa Wataalamu wa Uchunguzi wa Kompyuta na Simu ya Mwaka 2025. -
KANUNI ZA MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025, Supplement No. 16
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-18)Uchaguzi wa haki, huru, amani na wa kuaminika hutegemea ushirikiano na uadilifu wa wadau muhimu wa uchaguzi katika kutekeleza wajibu wao wakati wa kuendesha kampeni na zoezi la uchaguzi. Kwa kuzingatia kifungu cha 162 cha ... -
NOTISI YA KUSUDIO LA KUHAMISHA MAKABURI KATIKA ENEO LA KISHENGE MANISPAA YA BUKOBA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 231
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)KWA KUWA, kwa mujibu wa kifungu cha 3 cha Sheria ya Uhamishaji wa Makaburi, Sura ya 72, Waziri mwenye dhamana ya ardhi amepewa mamlaka, endapo atajiridhisha kuwa eneo la ardhi lenye makaburi linahitajika kwa madhumuni ya ... -
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTOAJI NA USIMAMIZI WA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 230
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu za Mwaka 2025, na zitasomwa pamoja na Kanuni za Utoaji na Usimamizi wa ... -
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UINDAJI WA KITALII ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 229
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Uwindaji wa Kitalii za Mwaka 2024 ambazo katika Kanuni hizi zinarejewa kama “Kanuni kuu”. -
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA UVUVI KATIKA MAENEO YA HIFADHI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 228
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Usimamizi wa Shughuli za Uvuvi katika Maeneo ya Hifadhi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Usimamizi wa Shughuli za Uvuvi katika Maeneo ya Hifadhi ... -
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA UTARATIBU WA USAFIRISHAJI WA VENIA KWENDA NJE YA NCHI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 227
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia Kwenda Nje ya Nchi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Utaratibu wa Usafirishaji wa Venia Kwenda Nje ya Nchi ... -
AMRI YA KUANZISHA SHOROBA YA WANYAMAPORI NYERERE – UDZUNGWA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 226
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kuanzisha Shoroba ya Wanyamapori Nyerere-Udzungwa ya Mwaka 2025. -
MKURUGENZI MSAIDIZI IDARA YA USIMAMIZI WA MASHAURI NA UTHIBITI UBORA WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, BI, MERCY KYAMBA. AKITOA MAELEZO KUHUSU MAJUKUMU YA OFISI HIYO KWA WANANCHI.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-07)mkurugenzi msaidizi idara ya usimamizi wa mashauri na uthibiti ubora wa ofisi ya wakili mkuu wa serikali, bi, mercy kyamba. akitoa maelezo kuhusu majukumu ya ofisi hiyo kwa Mwananchi aliyetembelea banda hilo wakati wa ... -
MAWAKILI WA SERIKALI WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIWA NDANI YA BANDA LA MAONESHO LA OFISI HIYO KWA AJILI YA KUHUDUMIA WANANCHI.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-07)Mawakili wa serikali wa ofisi ya wakili mkuu wa serikali wakiwa ndani ya banda la maonesho la ofisi hiyo kwa ajili ya kuhudumia wananchi wanaotembelea banda hilo wakati wa maonesho ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam. -
KATIBU MKUU WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, NDUGU ELIAKIMU MASWI AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-07)katibu mkuu wa wizara ya katiba na sheria, ndugu eliakimu maswi akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la ofisi ya wakili mkuu wa serikali wakati wa maonesho ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam. -
KATIBU MKUU WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, NDUGU ELIAKIMU MASWI AKIMSIKILIZA MKURUGENZI MSAIDIZI IDARA YA USIMAMIZI WA MASHAURI NA UTHIBITI UBORA WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, BI, MERCY KYAMBA.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-07)katibu mkuu wa wizara ya katiba na sheria, ndugu eliakimu maswi akimsikiliza mkurugenzi msaidizi idara ya usimamizi wa mashauri na uthibiti ubora wa ofisi ya wakili mkuu wa serikali, bi, mercy kyamba. Alipotembelea banda ...