Browsing Photos by Author "OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI"
Now showing items 1-20 of 85
-
Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji akielezea lengo la ziara hiyo walipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini Dar es Salaam -
Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unavyofanya kazi wakati wa Kikao cha Watumishi wote kilichofanyika Jijini ... -
BAADHI YA WAJUMBE WA MENEJIMENTI NA KAMATI YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIMSIKILIZA NWMS.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Baadhi ya wajumbe wa manejimenti na kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao kuhusu ... -
Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mtalaamu wa Uongozi, Bi. Zuhura Muro
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mtalaamu wa Uongozi, Bi. Zuhura Muro wakati akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo wakati wa kikao cha ... -
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam. -
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud ... -
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hayupo pichani)
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika ... -
Baadhi ya Watumishi wa Umma walioshiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Baadhi ya Watumishi wa Umma walioshiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho yaliyofanyika mkoani Singida. -
Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama hiyo wakati wa ziara ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora, ndugu Camilius Ruhinda akizungumza na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora, ndugu Camilius Ruhinda akizungumza na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao cha Faragha kwa viongozi hao kilichofanyika ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda akitoa maelezo mafupi kuhusu namna Mfumo wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa ... -
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha maktaba na utafiti Ndugu Kiuye Shemakame akifundisha namna ya kutumia E-Library kwa watumisha wa OWMS Dodoma
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Watumishi wa OWMS Dodoma wafundishwa namna ya kutumia E-Library na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha maktaba na utafiti Ndugu Kiuye Shemakame alipowatembelea hapo ofisini Dodoma. -
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas akitoa mada kuhusu Mawasiliano ya Kimkakati Serikalini
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas akitoa mada kuhusu Mawasiliano ya Kimkakati Serikalini wakati wa kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika ... -
Katibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Renalda Kabewa
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Katibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Renalda Kabewa akichangia mada kuhusu namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri unavyofanya kazi wakati wa Kikao cha Watumishi wote kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
Maafisa waandamizi wa Benki ya NMB wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt . Ally Possi (hayupo pichani)
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-17)Maafisa waandamizi wa Benki ya NMB wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt . Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Ruth Zaipuna (hayupo pichani) walipomtembelea Wakili Mkuu wa ... -
Mhamasishaji wa Mradi wa Utawala wa Sheria na Mahakama wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) ndugu Muhamet Ibrahimi akizungumza
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Mhamasishaji wa Mradi wa Utawala wa Sheria na Mahakama wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) ndugu Muhamet Ibrahimi ... -
Mhe. Balozi Mstaafu, Peter Kallaghe akitoa mada kuhusu Itifaki kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Mhe. Balozi Mstaafu, Peter Kallaghe akitoa mada kuhusu Itifaki kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro. -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota akielezea namna ofisi yake inavyofanya kazi alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisi kwake jijini Dar ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia)
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia) akiwa amevaa skafu ya bendera ya Tanzania mara baada ya kikao na Wakili Mkuu wa Serikali ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota na ujumbe wake wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele)
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota na ujumbe wake wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele) wakati wa kikao ...