Browsing Photos by Title
Now showing items 1-20 of 94
-
Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji akielezea lengo la ziara hiyo walipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini Dar es Salaam -
Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unavyofanya kazi wakati wa Kikao cha Watumishi wote kilichofanyika Jijini ... -
BAADHI YA WAJUMBE WA MENEJIMENTI NA KAMATI YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIMSIKILIZA NWMS.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Baadhi ya wajumbe wa manejimenti na kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao kuhusu ... -
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam. -
Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwa wamevalia kofia za kitalii
(Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali; Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, 2022-05-28)Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakiwa wamevalia kofia za kitalii zenye majina ya Hifadhi za Taifa zinazopatikana nchini. -
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Rais wa Mahakama wa Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud ... -
Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama hiyo wakati wa ziara ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. ... -
Jaji Kiongozi, Mhe. Mustapher Siyani akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikal
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji Kiongozi, Mhe. Mustapher Siyani akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Mercy Kyamba akimpa maelezo kuhusu utendaji wa Ofisi hiyo alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ... -
Jaji Mkuu wa Malawi, Mhe. Rizine Mzikamanda akisaini kitabu cha wageni
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji Mkuu wa Malawi, Mhe. Rizine Mzikamanda akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika unaofanyika ... -
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania (Arusha), Mhe. Nyigulila Mwaseba akisaini kitabu cha wageni.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania (Arusha), Mhe. Nyigulila Mwaseba akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki ... -
Jaji wa Mahakama ya Biashara Tanzania, Mhe. Dkt. Deo Nangela akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji wa Mahakama ya Biashara Tanzania, Mhe. Dkt. Deo Nangela akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la maonesho la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mkutano wa Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki ... -
Jaji wa Shelisheli na Mhe. Blastol Adeline akifurahia uwepo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali nchini Tanzania
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-25)Jaji wa Shelisheli, Mhe. Blastol Adeline aliyesimama pembeni mwa aliyeambatana nae akifurahia uwepo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali nchini Tanzania tofauti na nchini kwao alipotembelea banda la maonesho la Ofisi hiyo ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye banda la maonesho la Ofisi hiyo ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-23)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Kesi na Udhibiti Ubora, Alice Mtulo akiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Mashauri ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakihudhuria mkutano wa ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda akitoa maelezo mafupi kuhusu namna Mfumo wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa ... -
Katibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Renalda Kabewa
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Katibu Sheria wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Renalda Kabewa akichangia mada kuhusu namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri unavyofanya kazi wakati wa Kikao cha Watumishi wote kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
Maafisa waandamizi wa Benki ya NMB wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt . Ally Possi (hayupo pichani)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-17)Maafisa waandamizi wa Benki ya NMB wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt . Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Ruth Zaipuna (hayupo pichani) walipomtembelea Wakili Mkuu wa ... -
Mhamasishaji wa Mradi wa Utawala wa Sheria na Mahakama wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) ndugu Muhamet Ibrahimi akizungumza
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-04-04)Mhamasishaji wa Mradi wa Utawala wa Sheria na Mahakama wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) ndugu Muhamet Ibrahimi ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota akielezea namna ofisi yake inavyofanya kazi alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisi kwake jijini Dar ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia) akiwa amevaa skafu ya bendera ya Tanzania mara baada ya kikao na Wakili Mkuu wa Serikali ...