Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia)
Abstract
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia) akiwa amevaa skafu ya bendera ya Tanzania mara baada ya kikao na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyesimama) kushoto mara baada ya kikao kilichofanyika Ofisi kwake jijini Dar es Salaam.
Collections
- Photos [94]