Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda
Abstract
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda akitoa maelezo mafupi kuhusu namna Mfumo wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unavyofanya kazi wakati wa kikao cha watumishi wa ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam.
Collections
- Photos [94]