Maafisa waandamizi wa Benki ya NMB wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt . Ally Possi (hayupo pichani)
Abstract
Maafisa waandamizi wa Benki ya NMB wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt . Ally Possi (hayupo pichani) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Ruth Zaipuna (hayupo pichani) walipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali kwa lengo la kujitambulisha ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Collections
- Photos [94]