Photos: Recent submissions
Now showing items 1-20 of 94
-
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (watatu kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (watatu kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) na Viongozi Waandamizi wa Ofisi ya ... -
Viongozi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) na Viongozi Waandamizi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Viongozi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) na Viongozi Waandamizi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) ... -
Mkuu wa Idara ya Utetezi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Paul Kisabo
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Mkuu wa Idara ya Utetezi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Paul Kisabo akitoa neno la shukurani mara baada ya kikao na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini Dar es Salaam. -
Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Afisa Programu wa Umoja wa Wanasheria Afrika (PALU) Bi. Neema Jaji akielezea lengo la ziara hiyo walipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini Dar es Salaam -
Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa akielezea namna ofisi yake inavyofanya kazi alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) Ofisi kwake jijini ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, (THRDC)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-26)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mratibu wa Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Jaji kutoka Japan, Mhe. Higuchi Rui
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Jaji kutoka Japan, Mhe. Higuchi Rui mara baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwakwe jijini Dar es Salaam. -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota na ujumbe wake wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota na ujumbe wake wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele) wakati wa kikao ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kushoto) mara ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akipitia moja ya nyaraka kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, aliyopewa na Afisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania Bi.Shibata Yoshino
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akipitia moja ya nyaraka kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, aliyopewa na Afisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania Bi.Shibata Yoshino mara baada ya kikao ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia) mara baada ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia) akiwa amevaa skafu ya bendera ya Tanzania mara baada ya kikao na Wakili Mkuu wa Serikali ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Madai Bw. Deodatus Nyoni (wapili kutoka kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora Bi. Mercy Kyamba (wa pili kutoka kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Madai Bw. Deodatus Nyoni (wapili kutoka kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (wapili ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha wa wanyama watano wanaopatikana Tanzania Afisa Ubalozi wa Japani nchini Tanzania, Bi.Shibata Yoshino
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha wa wanyama watano wanaopatikana Tanzania Afisa Ubalozi wa Japani nchini Tanzania, Bi.Shibata Yoshino mara baada ya kikao kilichofanyika ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kushoto) ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya pembe za Tembo iliyonakishiwa kwa Ramani ya Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya pembe za Tembo iliyonakishiwa kwa Ramani ya Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa ... -
Mwendesha Mashtaka kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki akiwasilisha taarifa kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mwendesha Mashtaka kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki akiwasilisha taarifa kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa kikao na Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika Ofisi kwake ... -
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-03-20)Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota akielezea namna ofisi yake inavyofanya kazi alipomtembelea Wakili Mkuu wa Serikali Ofisi kwake jijini Dar ...