NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO, AKIMSIKILIZA NA KUJADILIANA JAMBO NA KAIMU JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA MHE. DKT FRANK MIRINDO.
Abstract
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo. akimsikiliza na kujadiliana jambo na kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora Mhe. Dkt Frank Mirindo alipofika mahakamani hapo wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Mawakili wa Ofisi hiyo Mkoani humo.
Collections
- Photos [150]