Photos: Recent submissions
Now showing items 1-20 of 150
-
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO (WA KWANZA KUSHOTO) AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA KAIMU JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA, MHE. FRANK MIRINDO
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo. (Wa kwanza kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Jaji Mfawidhi wa mahakama Kuu kanda ya Tabora, Mhe. Dkt. Frank Mirindo (aliyesimama katikati) na watumishi wengine ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO, AKIMSIKILIZA NA KUJADILIANA JAMBO NA KAIMU JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA MHE. DKT FRANK MIRINDO.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo. akimsikiliza na kujadiliana jambo na kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora Mhe. Dkt Frank Mirindo alipofika mahakamani hapo wakati wa ziara yake ya kukagua ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOFIKA KWENYE MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo. Akisaini kitabu cha wageni alipofika kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Tabora Kufuatilia utendaji kazi wa Mawakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa ziara ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO, (WA PILI KUSHOTO) AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA KAIMU JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MANYARA
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-20)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo. (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama `Kuu Kanda ya Manyara, Mhe Devotha Kamuzora ( aliyesimama katikati) baada ya kikao cha ukaguzi ... -
WAKILI WA SERIKALI MFAWIDHI WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, NDUGU LAMECK BUTUNTU AKIMTAMBULISHA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-20)Wakili wa Serikali Mfawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Lameck Butuntu akimtambulisha Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo na ujumbe wake walipofika Mahakama kuu kanda ya Manyara kukagua utendaji ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIZUNGUMZA NA KAIMU JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA MANYARA, MH. DEVOTA KAMUZORA
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-20)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo akizungumza na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Manyara, Mhe. Devota Kamuzora alipofika mahakamani hapo wakati wa ziara yake katika ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ... -
MKURUGENZI MSAIDIZI IDARA YA USIMAMIZI WA MASHAURI NA UTHIBITI UBORA WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, BI, MERCY KYAMBA. AKITOA MAELEZO KUHUSU MAJUKUMU YA OFISI HIYO KWA WANANCHI.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-07)mkurugenzi msaidizi idara ya usimamizi wa mashauri na uthibiti ubora wa ofisi ya wakili mkuu wa serikali, bi, mercy kyamba. akitoa maelezo kuhusu majukumu ya ofisi hiyo kwa Mwananchi aliyetembelea banda hilo wakati wa ... -
MAWAKILI WA SERIKALI WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIWA NDANI YA BANDA LA MAONESHO LA OFISI HIYO KWA AJILI YA KUHUDUMIA WANANCHI.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-07)Mawakili wa serikali wa ofisi ya wakili mkuu wa serikali wakiwa ndani ya banda la maonesho la ofisi hiyo kwa ajili ya kuhudumia wananchi wanaotembelea banda hilo wakati wa maonesho ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam. -
KATIBU MKUU WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, NDUGU ELIAKIMU MASWI AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-07)katibu mkuu wa wizara ya katiba na sheria, ndugu eliakimu maswi akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la ofisi ya wakili mkuu wa serikali wakati wa maonesho ya sabasaba yanayoendelea jijini Dar es salaam. -
KATIBU MKUU WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, NDUGU ELIAKIMU MASWI AKIMSIKILIZA MKURUGENZI MSAIDIZI IDARA YA USIMAMIZI WA MASHAURI NA UTHIBITI UBORA WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, BI, MERCY KYAMBA.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-07)katibu mkuu wa wizara ya katiba na sheria, ndugu eliakimu maswi akimsikiliza mkurugenzi msaidizi idara ya usimamizi wa mashauri na uthibiti ubora wa ofisi ya wakili mkuu wa serikali, bi, mercy kyamba. Alipotembelea banda ... -
Ndugu Mosses Raymond akitoa mada kuhusu matumizi ya Akili hisia wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kutoka Wizara,
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Ndugu Mosses Raymond akitoa mada kuhusu matumizi ya Akili hisia wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi, Halmashauri za Wilaya na Mikoa yanaofanyika Jijini Arusha. -
Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakiwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakiwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) kwa lengo la kushiriki Mafunzo hayo yanayofanyika Jijini Arusha -
Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakifuatilia mada mbalimbali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakifuatilia mada mbalimbali zilizotolewa wakati wa mafunzo kwa Mawakili hao yanayofanyika Jijini Arusha. -
Naibu Mkuu wa Shule ya Sheria kwa vitendo, sehemu ya Mafunzo, Utafiti na Ushauri Prof. Clement Mashamba
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Naibu Mkuu wa Shule ya Sheria kwa vitendo, sehemu ya Mafunzo, Utafiti na Ushauri Prof. Clement Mashamba akichokoza mada kuhusu namna ya Kushughulikia Migogoro katika Kusimamia Masoko ya Mitaji wakati wa Mafunzo kwa Mawakili ... -
Afisa Sheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Bi. Anna Gabriel akitoa mada
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Afisa Sheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana, Bi. Anna Gabriel akitoa mada hukusu namna ya Kushughulikia Migogoro katika Kusimamia Masoko ya Mitaji wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika ... -
Msajili wa Baraza la Masoko ya Mitaji, Ndugu Martin Kolikoli akitoa mada kuhusu Baraza la Masoko ya Mitaji (CMT) katika kukuza Masoko ya Mitaji Tanzania
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Msajili wa Baraza la Masoko ya Mitaji, Ndugu Martin Kolikoli akitoa mada kuhusu Baraza la Masoko ya Mitaji (CMT) katika kukuza Masoko ya Mitaji Tanzania wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha. -
Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam Ndugu Peter Nalitolea akitoa mada kuhusu Maarifa ya Kisheria, Utawala Bora na Ulinzi wa Uwekezaji wa Masoko
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam Ndugu Peter Nalitolea akitoa mada kuhusu Maarifa ya Kisheria, Utawala Bora na Ulinzi wa Uwekezaji wa Masoko ya Mitaji wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika ... -
Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akitoa mada kuhusu namna ya kujenga uaminifu katika uendeshaji wa Mashauri ya Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akitoa mada kuhusu namna ya kujenga uaminifu katika uendeshaji wa Mashauri ya Serikali wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha. -
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Mhe. Balozi Ombeni Sefue akitoa mada kuhusu Maadili, Uongozi, na Uaminifu katika Utumishi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Mhe. Balozi Ombeni Sefue akitoa mada kuhusu Maadili, Uongozi, na Uaminifu katika Utumishi wa Umma wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha. -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo, akitoa neno la utangulizi wakati akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo, akitoa neno la utangulizi wakati akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) ili azungumze na Mawakili wa Serikali wakati wa mafunzo kwa mawakili ...