Photos: Recent submissions
Now showing items 21-40 of 140
-
Mratibu wa Kusimamia Magonjwa yanayoambukiza wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Dkt. Aisha Zukheri
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Mratibu wa Kusimamia Magonjwa yanayoambukiza wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Dkt. Aisha Zukheri akitoa mada kuhusu Magonjwa yanayoambukiza wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Dakitari Bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt. Garvin Kweka akitoa mada kuhusu namna ya kukabiliana na msongo wa mawazo
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Dakitari Bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt. Garvin Kweka akitoa mada kuhusu namna ya kukabiliana na msongo wa mawazo wakati wa mafunzo kwa watumishi wa ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Jijini Arusha. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-06-06)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kwa watumishi hao yaliyofanyika Jijini Arusha -
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha maktaba na utafiti Ndugu Kiuye Shemakame akifundisha namna ya kutumia E-Library kwa watumisha wa OWMS Dodoma
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Watumishi wa OWMS Dodoma wafundishwa namna ya kutumia E-Library na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha maktaba na utafiti Ndugu Kiuye Shemakame alipowatembelea hapo ofisini Dodoma. -
Watumishi wa OWMS Dodoma wakifundishwa namna ya kutumia e-library na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Maktaba na Utafiti Ndugu kiuye Shemakame
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-12)Watumishi wa OWMS Dodoma wafundishwa namna ya kutumia E-Library na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha maktaba na utafiti Ndugu Kiuye Shemakame alipowatembelea hapo ofisini Dodoma. -
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Mali Asili na utalii (aliyesimama kushoto)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Mali Asili na utalii (aliyesimama kushoto) pamoja na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) ... -
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usuluhishi wa Ndani wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Ndugu David Kakwaya
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Usuluhishi wa Ndani wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Ndugu David Kakwaya akichangia mada kuhusu Mawasliano ya Kimkakati Serikalini wakati wa kikao hicho kilichofanyika mkoani Morogoro. -
Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mtalaamu wa Uongozi, Bi. Zuhura Muro
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mtalaamu wa Uongozi, Bi. Zuhura Muro wakati akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo wakati wa kikao cha ... -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora, ndugu Camilius Ruhinda akizungumza na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora, ndugu Camilius Ruhinda akizungumza na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao cha Faragha kwa viongozi hao kilichofanyika ... -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Balozi Peter Kallaghe (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu Masuala ya Itifaki
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Balozi Peter Kallaghe (hayupo pichani) wakati akitoa mada kuhusu Masuala ya Itifaki Kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu ... -
Mtaalamu wa Masuala ya Uongozi, Bi. Zuhura Muro akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Mtaalamu wa Masuala ya Uongozi, Bi. Zuhura Muro akitoa mada kuhusu Uongozi, Akili Hisia na Kushughulikia Msongo wa Mawazo wakati wa kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika ... -
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas akitoa mada kuhusu Mawasiliano ya Kimkakati Serikalini
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas akitoa mada kuhusu Mawasiliano ya Kimkakati Serikalini wakati wa kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika ... -
Mhe. Balozi Mstaafu, Peter Kallaghe akitoa mada kuhusu Itifaki kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Mhe. Balozi Mstaafu, Peter Kallaghe akitoa mada kuhusu Itifaki kwenye kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-03)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwenye siku ya pili ya Kikao cha Faragha kwa viongozi hao kilichofanyika mkoani Morogoro -
Baadhi ya Watumishi wa Umma walioshiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Baadhi ya Watumishi wa Umma walioshiriki Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati wa Maadhimisho yaliyofanyika mkoani Singida. -
Mtumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Godwin Rubagumya akiendelea na shamrashamra za Siku ya Wafanyakazi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Mtumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Godwin Rubagumya akiendelea na shamrashamra za Siku ya Wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya sherehe hizo yaliyofamyika mkoani Singida. -
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hayupo pichani)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika ... -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikilizaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (Hayupo pichani)
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikilizaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (Hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika ... -
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Umma pamoja na wananchi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-05-01)Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Umma pamoja na wananchi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) yaliyofanyika mkoani Singida.