Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Mali Asili na utalii (aliyesimama kushoto)
Abstract
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Mali Asili na utalii (aliyesimama kushoto) pamoja na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) kando ya Kikao cha Faragha kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika mkoani Morogoro.
Collections
- Photos [116]