Search
Now showing items 1-6 of 6
MHE. BALOZI DKT. PINDI HAZARA CHANA AIPONGEZA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI KWA KULINDA MASLAHI YA SERIKALI NDANI NA NJE YA NCHI
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-13)
Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa lengo la ziara yake ya kutembelea OWMS ni kufahamu majukumu yao na kujenga uelewa kuhusu namna wanavyotekeleza majukumu hayo ili taasisi zote zilizo chini ya Wizara ya Katiba na ...
JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA TISA
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-10-01)
Tarehe 02 Oktoba, 2024; Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua Bi. Sarah Mwaipopo kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Bi. Mwaipopo alikuwa Naibu Wakili Mkuu ...
JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA TANO
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-01-28)
Toleo la Tano la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kuangazia uelekeo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inapoelekea kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake. Katika kuangazia hilo, jarida hili ...
JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA NANE
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-01)
Toleo la Nane la Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ni maalum kwa ajili ya kuhabarisha umma kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa kipindi kinacho anzia mwezi Julai hadi ...
JARIDA LA WAKILI MKUU: TOLEO LA SITA
(OFFICE OF THE SOLICITOR GENERAL, 2023-10-16)
Toleo la Sita la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kuendelea kuangazia mafanikio ya Ofisi ya Wakili Mkuu Wa Serikali katika miaka miwili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia ...
JARIDA LA WAKILI MKUU: TOLEO LA SABA
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2023-09-08)
Toleo la Saba la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kutathmini utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake mwaka 2018. Katika ...