The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA TANO

Loading...
Thumbnail Image

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI

Abstract

Toleo la Tano la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kuangazia uelekeo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inapoelekea kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake. Katika kuangazia hilo, jarida hili linaendelea kutambua mchango mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha Ofisi hii. Pamoja na mchango mkubwa wa Mhe. Rais, Ofisi ya Wakili Mkuu imekuwa mstari wa mbele kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kuhakikisha tunaendelea kuiwakilisha vyema na kwa weledi mkubwa katika uratibu, usimamizi na uendeshaji wa mashauri ya madai na usuluhishi yaliyofunguliwa na au dhidi ya Serikali na taasisi zake ndani na nje ya nchi.

Description

Citation

Collections

Endorsement

Review

Supplemented By

Referenced By