JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA TANO
dc.contributor.author | OFISI YA WAKILI MKUU | |
dc.date.accessioned | 2024-08-28T08:58:52Z | |
dc.date.available | 2024-08-28T08:58:52Z | |
dc.date.issued | 2023-01-28 | |
dc.description.abstract | Toleo la Tano la Jarida la Wakili Mkuu wa Serikali ni maalumu kwa ajili ya kuangazia uelekeo wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inapoelekea kutimiza miaka mitano tangu kuanzishwa kwake. Katika kuangazia hilo, jarida hili linaendelea kutambua mchango mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha Ofisi hii. Pamoja na mchango mkubwa wa Mhe. Rais, Ofisi ya Wakili Mkuu imekuwa mstari wa mbele kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kuhakikisha tunaendelea kuiwakilisha vyema na kwa weledi mkubwa katika uratibu, usimamizi na uendeshaji wa mashauri ya madai na usuluhishi yaliyofunguliwa na au dhidi ya Serikali na taasisi zake ndani na nje ya nchi. | en_US |
dc.identifier.issn | 2820-2686 | |
dc.identifier.uri | http://elibrary.osg.go.tz/handle/123456789/1372 | |
dc.publisher | OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI | en_US |
dc.subject | TOLEO LA TANO | en_US |
dc.subject | JARIDA | en_US |
dc.title | JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA TANO | en_US |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- Toleo la Tano (5) Jarida la Wakili Mkuu 28.01.2023.pdf
- Size:
- 4.91 MB
- Format:
- Adobe Portable Document Format
- Description:
License bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: