JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA TISA
Loading...
Date
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
Abstract
Tarehe 02 Oktoba, 2024; Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua Bi. Sarah Mwaipopo kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Bi. Mwaipopo alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali na Afisa Masuuli wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali.