• Login
    • LMS OPAC
    Tanzania emblem
    The United Republic of Tanzania

    Office of The Solicitor General

    eLibrary
    NDC Logo
    View Item 
    •   OSG Library Home
    • OSG PUBLICATIONS
    • Articles
    • Articles
    • View Item
    •   OSG Library Home
    • OSG PUBLICATIONS
    • Articles
    • Articles
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    MHE. BALOZI DKT. PINDI HAZARA CHANA AIPONGEZA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI KWA KULINDA MASLAHI YA SERIKALI NDANI NA NJE YA NCHI

    Thumbnail
    View/Open
    PINDI CHANA AIPONGEZA OWMS KWA KULINDA MASLAHI YA SERIKALI 13092023.doc (244Kb)
    Date
    2023-09-13
    Author
    MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI, PRISCA J. ULOMI
    MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI, PRISCA J. ULOMI
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa lengo la ziara yake ya kutembelea OWMS ni kufahamu majukumu yao na kujenga uelewa kuhusu namna wanavyotekeleza majukumu hayo ili taasisi zote zilizo chini ya Wizara ya Katiba na Sheria ziweze kushirikiana kuhudumia wananchi kwa kuhakikisha nchi inazingatia misingi ya haki na utawala bora ili taifa la Tanzania liendelee kuwa taifa la amani. Pia, ameipongeza OWMS kwa kulinda haki na maslahi ya Serikali yasipokonywe ndani na nje ya nchi kwa kushinda kesi ambazo Serikali ilikuwa na haki na kuwa mabingwa katika kutetea vyema Serikali. “Vile mnavyoitetea Serikali na kushinda kwenye kesi zile ambazo Serikali ilikuwa na haki zile fedha ndiyo zinasaidia kuleta maendeleo ambapo tunajenga barabara, vituo vya afya, n.k. Ofisi hii ni muhimu ndiyo maana imekuwa Ofisi maalum. Ofisi hii ya Wakili wa Serikali kama vile tunavyofahamu wale Mawakili wengine wanalinda na kutetea maslahi iwe ni ya taasisi au ya mtu mmoja, sasa yeye ni Wakili Mkuu wa Serikali,” amesisitiza Balozi Dkt. Pindi Chana
    URI
    http://localhost/handle/123456789/1301
    Collections
    • Articles [1]

    OSG Copyright © 2025  LIBRARY
    Contact Us | Send Feedback
     

     

    Browse

    All of OSG LibraryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    LoginRegister

    OSG Copyright © 2025  LIBRARY
    Contact Us | Send Feedback