JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA NANE
Loading...
Date
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI
Abstract
Toleo la Nane la Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali ni maalum kwa ajili ya kuhabarisha umma kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri katika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa kipindi kinacho anzia mwezi Julai hadi Septemba Mwaka 2023. Katika kipindi hicho Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali imeendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi madhubuti wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwaletea wananchi maendeleo kwa kuendelea kusimamia vizuri mashauri yote ya madai na usuluhishi yaliyofunguliwa na Serikali au dhidi yake hatua ambayo imesaidia kuokoa fedha nyingi ambazo zingelipwa kama Serikali ingeshindwa mashauri hayo Mahakamani.