Photos: Recent submissions
Now showing items 81-100 of 140
-
Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Afisa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Ndugu Yasin Kamanyile akielezea namna Mfumo Mpya wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali unavyofanya kazi wakati wa Kikao cha Watumishi wote kilichofanyika Jijini ... -
Mwenyekiti wa TUGHE tawi la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Mtani Songorwa
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Mwenyekiti wa TUGHE tawi la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Mtani Songorwa akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa ofisi hiyo wakati wa kikao cha watumishi wa ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu. Camilius Ruhinda akitoa maelezo mafupi kuhusu namna Mfumo wa Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa ... -
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akitoa neno la shukrani mara baada ya kumaliza kikao cha Watumishi kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimkaribisha Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha watumishi wa ofisi hiyo kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-02-13)Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa lengo la kutoa mwelekeo wa Ofisi hiyo kwenye kikao kilichofanyika Jijini Dar es Salaam. -
WAKILI WA SERIKALI MKUU NA MWENYEKITI WA KAMATI YA UADILIFU WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. VIVIAN METHOD
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Wakili wa Serikali Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Uadilifu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Vivian Method akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo wakati akimkaribisha Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo( ... -
BAADHI YA WAJUMBE WA MENEJIMENTI NA KAMATI YA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI WAKIMSIKILIZA NWMS.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Baadhi ya wajumbe wa manejimenti na kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo kwa wajumbe hao kuhusu ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO (KATIKATI) AKIWA NA WAJUMBE WA MANEJIMENTI YA OWMS.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wajumbe wa manejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo kwa wajumbe wa kamati ya uadilifu ya ofisi hiyo kuhusu ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIWA NA WAKUFUNZI WA MAFUNZO.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu wakili Mkuu wa Serikali Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa na wakufunzi wa mafunzo kuhusu utekelezaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya Nne yaliyofanyika Kibaha Mkoani Pwani. -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI, Bi. ALICE MTULO AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA UADILIFU YA OWMS
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na wajumbe wa kamati ya Uadilifu ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kuhusu utekelzaji wa mkakati wa Taifa dhidi ya Rushwa Awamu ya nne ... -
NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI AFUNGUA MAFUNZO YA UADILIFU
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-21)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo amefungua mafunzo kwa kamati ya uadilifu na kwa Menejimenti Maalum ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani kwa muda wa siku mbili kuanzia ... -
Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Jaji kiongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Yohane Masara akizungumza wa Viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama hiyo wakati wa ziara ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kutembelea Mahakama hiyo kwa lengo la kuona namna ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa kwanza kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera (aliyesimama katikati), Jaji Kiongozi wa Mahakama hiyo, ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kulia) akiwa na viongozi wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki alipotembelea moja ya ukumbi wa Mahakama hiyo baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa ... -
Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kushoto) na ujumbe wake wakisikiliza wasilisho kuhusu Mahakama ya Jumjuiya ya Afrika Mashariki
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (wa pili kushoto) na ujumbe wake wakisikiliza wasilisho kuhusu Mahakama ya Jumjuiya ya Afrika Mashariki inavyofanyakazi alipotembelea Mahakama hiyo Jijini Arusha. -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akipokea zawadi kutoka Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akipokea zawadi kutoka Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Jaji Nestory Kayobera baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kikao baina yao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa ... -
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele kushoto) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud.
(OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-11-09)Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi mbele kushoto) akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Mhe. Jaji Imani Aboud (aliyeketi kushoto kwake) alipofika Mahakamani hapo kujitambulisha ...