Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia)
Abstract
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan Bw.Tatemoto Ryota (aliyesimama kulia) mara baada ya kikao kilichofanyika Ofisi kwake jijini Dar es Salaam.
Collections
- Photos [94]