Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki
Abstract
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kulia) akimkabidhi zawadi ya picha ya Twiga Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki mara baada ya kikao kilichofanyika Ofisini kwakwe jijini Dar es Salaam.
Collections
- Photos [94]