Mwendesha Mashtaka kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki akiwasilisha taarifa kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo
Abstract
Mwendesha Mashtaka kutoka Japan, Bw. Takahashi Kazuaki akiwasilisha taarifa kuhusu Taasisi ya Utafiti na Mafunzo, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa kikao na Wakili Mkuu wa Serikali kilichofanyika Ofisi kwake jijini Dar es Salaam.
Collections
- Photos [94]