Mkuu wa Idara ya Madai ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mark Mulwambo akifuatilia kwa makini kikao baina ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi
Abstract
Mkuu wa Idara ya Madai ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mark Mulwambo akifuatilia kwa makini kikao baina ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) hawapo pichani kilichofanyika jijini Dar es Salaam
Collections
- Photos [116]