Tanzania Legislation: Recent submissions
Now showing items 1-20 of 305
-
KANUNI ZA HUDUMA ZA UIDHINISHAJI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 134
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-21)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Huduma za Uidhinishaji za Mwaka 2025. -
THE ELECTRONIC TRANSACTIONS (CERTIFICATION SERVICES) REGULATIONS, 2025, GOVERNMENT NOTICE No. 133
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-21)These Regulations may be cited as the Electronic Transactions (Certification Services) Regulations, 2025. -
THE FOREST (AMENDMENT) REGULATIONS, 2025, GOVERNMENT NOTICE NO. 132
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-21)These Regulations may be cited as the Forest (Amendment) Regulations, 2025 and shall be read as one with the Forest Regulations, hereinafter referred to as the “principal Regulations”. -
THE BEEKEEPING (GENERAL) (AMENDMENT) REGULATIONS, 2025, GOVERNMENT NOTICE NO. 131
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-21)These Regulations may be cited as the Beekeeping (General) (Amendment) Regulations, 2025 and shall be read as one with the Beekeeping (General) Regulations, 2005 hereinafter referred to as the “principal Regulations.” -
THE EXCISE (MANAGEMENT AND TARIFF) (REMISSION) (HARDWARE AND SOFTWARE TO BE KEPT IN THE NATIONAL SITUATION ROOM FOR EARLY WARNING AND DISASTER OPERATION) (PRIME MINISTER’S OFFICE, POLICY, PARLIAMENTARY AND COORDINATION) ORDER, 2025, GOVERNMENT NOTICE NO. 129
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-21)This Order may be cited as the Excise (Management and Tariff) (Remission) (Hardware and Software to be Kept in the National Situation Room for Early Warning and Disaster Operation), (Prime Minister’s Office, Policy, ... -
THE EXCISE (MANAGEMENT AND TARIFF) (REMISSION) (2 UNITS MOTOR VEHICLES) (KATAVI – MAHALE ECOSYSTEM AND CORRIDOR CONSERVATION PROJECT) (M/S TANZANIA NATIONAL PARKS (TANAPA)) ORDER, 2025 , GOVERNMENT NOTICE NO. 128
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-21)This Order may be cited as the Excise (Management and Tariff) (Remission) (2 Units Motor Vehicles) (Katavi-Mahale Ecosystem and Corridor Conservation Project) (M/S Tanzania National Parks (TANAPA)) Order, 2025 and shall ... -
THE STANDARDS (IMPORTS REGISTRATION AND BATCH CERTIFICATION) (AMENDMENT) REGULATIONS, 2025, GOVERNMENT NOTICE NO.127
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-21)These Regulations may be cited as the Standards (Imports Registration and Batch Certification) (Amendment) Regulations, 2025 and shall be read as one with the Standards (Imports Registration and Batch Certification) ... -
HATI YA UHAMISHO WA UMILIKI WA JENGO LILILOSAJILIWA KWA JINA LA HALMASHAURI YA BIASHARA YA NDANI (BIT) KWENDA BARAZA LA RUFANI ZA KODI (TRAT) NA BODI YA RUFANI ZA KODI (TRAB) YA MWAKA 2025 ,TANGAZO LA SERIKALI Na 111
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-14)KWA KUWA, kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka na Majukumu ya Msajili wa Hazina ikisomwa pamoja na Sheria ya Mashirika ya Umma, mali zote za Serikali zimewekwa chini ya Umiliki wa Msajili wa Hazina; -
HATI YA UHAMISHO WA VIWANJA VINAVYOMILIKIWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA KWENDA KWA JUMUIYA YA KIDINI YA KHOJA SHIA ITHNA ASHERI JAMAAT YA MWAKA 2025 , TANGAZO LA SERIKALI Na. 110
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-14)KWA KUWA, kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka na Majukumu ya Msajili wa Hazina ikisomwa pamoja na Sheria ya Mashirika ya Umma, mali zote za Serikali zimewekwa chini ya umiliki wa Msajili wa Hazina; -
THE EXCISE (MANAGEMENT AND TARIFF) (REMISSION OF ONE MOTOR VEHICLE FOR CONSTRUCTION OF 50MWP SOLAR PV PROJECT IN SHINYANGA REGION) (MINISTRY OF ENERGY) ORDER, 2025, GOVERNMENT NOTICE No. 90
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-14)This Order may be cited as the Excise (Management and Tariff) (Remission of One Motor Vehicle for Construction of 50MWP Solar PV Project in Shinyanga Region) (Ministry of Energy) Order, 2025 and shall be deemed to have ... -
KANUNI ZA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 86
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-07)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025. -
AMRI YA KUPANDISHA HADHI HALMASHAURI YA MJI WA GEITA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 84
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-07)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupandisha hadhi Halmashauri ya Mji wa Geita ya Mwaka 2025. -
AMRI YA KUPANDISHA HADHI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUFIJI YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 83
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-07)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupandisha Hadhi Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ya Mwaka 2025. -
SHERIA NDOGO YA UDHIBITI WA VYOMBO VYA USAFIRI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 82
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-07)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Udhibiti wa Vyombo vya Usafiri ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya Mwaka 2025. -
THE TANZANIA TOURIST BOARD (TOURISM GOODWILL AMBASSADORS) REGULATIONS, 2025, GOVERNMENT NOTICE NO. 70
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-07-02)These Regulations may be cited as the Tanzania Tourist Board (Tourism Goodwill Ambassadors) Regulations, 2025 -
THE INCOME TAX (EXEMPTION) (CORPORATE TAX) (CONSTRUCTION, TESTING AND COMMISSIONING OF WATER SUPPLY SCHEMES AT HTM NATIONAL WATER PROJECT AREA AND KOROGWE, MUHEZA AND PANGANI TOWNS) (PACKAGE I) (M/S JWIL INFRA LIMITED) ORDER, 2025 ,GOVERNMENT NOTICE No. 67
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-07-02)This Order may be cited as the Income Tax (Exemption) (Corporate Tax) (Construction, Testing and Commissioning of Water Supply Schemes at HTM National Water Project Area and Korogwe, Muheza and Pangani Towns) (Package I) ... -
THE LAW SCHOOL OF TANZANIA (STUDENTS’ GENERAL WELFARE, CONDUCT AND DISCIPLINARY MATTERS) RULES, 2025 ,GOVERNMENT NOTICE NO. 66
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-07-02)These Rules may be cited as the Law School of Tanzania (Students General Welfare, Conduct and Disciplinary Matters) (Amendment) Rules, 2025 and shall be read as one with Law School of Tanzania (Students General Welfare, ... -
NOTISI YA KUSUDIO LA KUTANGAZA MAPENDEKEZO YA KUBORESHA MALIPO YA FIDIA YA KILA MWEZI KWA WANUFAIKA WA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 64
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-31)Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kusudio la Kutangaza Mapendekezo ya Kuboresha Malipo ya Fidia ya Kila Mwezi kwa Wanufaika wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi ya Mwaka 2025. -
AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KATIKA KEMIKALI YA ETHANOL INAYOTUMIKA KUZALISHA LADHA ZA KAHAWA, KOKOA NA VANILA KWA KAMPUNI YA NATURAL EXTRACT INDUSTRIAL LIMITED YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 63
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-31)Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa katika Kemikali ya Ethanol inayotumika katika Mradi wa Kuzalisha Ladha za Kahawa, Kokoa na Vanila kwa Kampuni ya Natural Extract Industrial Limited ya Mwaka ... -
KANUNI ZA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA USIMAMIZI WA MASHAURI YA USULUHISHI NA UAMUZI ZA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 61
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-31)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Mashauri ya Usuluhishi na Uamuzi za Mwaka 2025.