Tanzania Legislation: Recent submissions
Now showing items 21-40 of 278
-
MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA USAFI, AFYA NA HIFADHI YA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA YA MWAKA 2025 Tangazo la Serikali Na.31 (Linaendelea.) TANGAZO LA SERIKALI Na. 31 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Usafi, Afya na Hifadhi ya Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Arusha ya Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Usafi, Afya na Hifadhi ya Mazingira ... -
MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA USAFI WA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 30 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo ya Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Usafi wa Mazingira ya Halmashauri ya Wilaya ya ... -
MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA UDHIBITI NA USIMAMIZI WA MIFUGO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 29 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Wilaya ya Liwale ya Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Udhibiti na Usimamizi wa Mifugo ya ... -
MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA USHURU WA MASOKO NA MAGULIO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MLIMBA YA MWAKA 2025 Tangazo la Serikali Na.28 (Linaendelea.) TANGAZO LA SERIKALI Na. 28 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba ya Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ... -
MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA USHURU WA MASOKO NA MAGULIO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KYERWA YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 27 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ya Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Ushuru wa Masoko na Magulio ya Halmashauri ... -
MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 26 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Moshi ya Mwaka ... -
MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA AFYA, USAFI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 25 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Usimamizi wa Mazingira ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ya Mwaka 2025, na itasomwa pamoja na Sheria Ndogo ya Afya, Usafi na Usimamizi wa ... -
MAREKEBISHO YA SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 24 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Marekebisho ya Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ya Mwaka 2025, na itasomwa kpamoja na Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita ya Mwaka ... -
KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA MATUMIZI YA MIUNDOMBINU YA RELI KWA WATOA HUDUMA BINAFSI ZA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 23 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Matumizi ya Miundombinu ya Reli kwa Watoa Huduma Binafsi za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Matumizi ya Miundombinu ya Reli kwa Watoa Huduma ... -
THE EXCISE (MANAGEMENT AND TARIFF) (REMISSION) (TWO MOTOR VEHICLES) (BUILDING THE RESILIENCE OF FOREST BIODIVERSITY AGAINST THE THREATS OF CLIMATE CHANGE PROJECT) (TANZANIA FOREST SERVICES AGENCY (TFS)) ORDER, 2025 GOVERNMENT NOTICE No. 22 OF 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)This Order may be cited as the Excise (Management and Tariff) (Remission) (Two Motor Vehicles) (Building the Resilience of Forest Biodiversity Against the Threats of Climate Change Project) (Tanzania Forest Services Agency ... -
THE EXCISE (MANAGEMENT AND TARIFF) (REMISSION) (1 MOTOR VEHICLE) (REPRESENTATIVE OF UNITED NATIONS HIGH COMMISSIONER FOR REFUGEES IN TANZANIA) ORDER, 2025 GOVERNMENT NOTICE No. 21 OF 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-17)This Order may be cited as the Excise (Management and Tariff) (Remission) (1 Motor Vehicle) (Representative of United Nations High Commissioner for Refugees in Tanzania) Order, 2025 and shall be deemed to have come into ... -
THE RAILWAYS (OPEN ACCESS) (AMENDMENT) REGULATIONS, 2025 GOVERNMENT NOTICE No. 20 OF 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-03)These Regulations may be cited as the Railways (Open Access) (Amendment) Regulations, 2025 and shall be read as one with the Railways (Open Access) Regulations, 2024 hereinafter referred to as “the principal Regulations”. -
NOTISI YA KUPANGA MATUMIZI YA ARDHI YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na.19 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-03)Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kupanga Matumizi ya Ardhi ya Mwaka 2025 -
NOTISI YA KUWEPO KWA NAFASI WAZI YA KITI CHA UBUNGE KATIKA JIMBO LA KIGAMBONI YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na.18 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-03)KWA KUWA, kifungu cha 49(2) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani kinampa Spika wa Bunge la Tanzania mamlaka ya kutangaza nafasi ya Ubunge pale Mbunge anapojiuzulu, anapofariki dunia au anapoachia nafasi ya ... -
THE PRESIDENTIAL, PARLIAMENTARY AND COUNCILLORS’ ELECTIONS (DECLARATION OF VACANCY IN THE SEAT OF A MEMBER OF PARLIAMENT FOR KIGAMBONI CONSTITUENCY) NOTICE, 2025 GOVERNMENT NOTICE NO. 17 OF 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-03)WHEREAS, section 49(2) of the Presidential, Parliamentary and Councillors’ Elections Act, empowers the Speaker of the National Assembly of Tanzania to declare a vacancy in the seat of a Member of Parliament where a Member ... -
KANUNI ZA KUDUMU ZA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE ZA MWAKA 2024 TANGAZO LA SERIKALI Na. 16 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-03)Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Mji Njombe za Mwaka 2024. -
SHERIA NDOGO YA USIMAMIZI WA MIFUGO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA YA MWAKA 2024 TANGAZO LA SERIKALI Na. 15 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-03)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Mifugo ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024. -
SHERIA NDOGO YA USHURU WA STENDI NA MAEGESHO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILWA YA MWAKA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-03)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ushuru wa Stendi na Maegesho ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa ya Mwaka 2024. -
SHERIA NDOGO YA ADA NA USHURU YA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YA MWAKA 2024 TANGAZO LA SERIKALI Na.13
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-03)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Ada na Ushuru ya Halmashauri ya Mji Njombe ya Mwaka 2024. -
SHERIA NDOGO YA USIMAMIZI WA MASOKO YA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YA MWAKA 2024 TANGAZO LA SERIKALI Na. 12 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-03)Sheria Ndogo hii itajulikana kama Sheria Ndogo ya Usimamizi wa Masoko ya Halmashauri ya Wilaya ya Mji Njombe ya Mwaka 2024.