Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
View/ Open
Date
2021-02Author
Luhende, Dkt. Boniphace Nalija
wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Metadata
Show full item recordAbstract
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Nalija Luhende (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali mara baada ya kufungua kikao cha kwanza cha Baraza hilo kwa mwaka wa fedha 2021/2022.Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa kololo AICC Jijini Arusha.
Collections
- Photos [150]
Related items
Showing items related by title, author, creator and subject.
-
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa Wakili Mkuu wa Serikali.
JARIDA LA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati wa kikao cha Menejimenti ya Ofisi ... -
WAKILI WA SERIKALI MFAWIDHI WA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, NDUGU LAMECK BUTUNTU AKIMTAMBULISHA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI Bi. ALICE MTULO.
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2025-07-20)Wakili wa Serikali Mfawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Lameck Butuntu akimtambulisha Naibu Wakili Mkuu wa Serikali bi. Alice Mtulo na ujumbe wake walipofika Mahakama kuu kanda ya Manyara kukagua utendaji ... -
Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali .
OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI (OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI, 2024-08-31)Wakili MKuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kutoa mwelekeo wa Ofisi hiyo kwenye kikao kilichofanyika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo Dar es Salaam.