AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA KUANZISHA MASJALA NDOGO ZA MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 51 LA 2025
Abstract
Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Kuanzisha Masjala Ndogo za Mahakama ya Rufani ya Tanzania ya Mwaka 2025 na itasomwa pamoja na Amri ya Kuanzisha Masjala Ndogo za Mahakama ya Rufani ya Tanzania ya Mwaka 2022 ambayo hapa itarejewa kama “Amri kuu”.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]