AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KWA GARI MOJA LINALOINGIZWA NCHINI NA WAWAKILISHI WA SHIRIKA LA WAKIMBIZI DUNIANI NCHINI TANZANIA YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 40 LA 2025
Abstract
Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa kwa Gari Moja linaloingizwa na Shirika la Wakimbizi Duniani nchini Tanzania ya mwaka 2025 itachukuliwa kuwa imeanza kutumika tarehe 31 Oktoba, 2024.
Collections
- Subsidiary Legislation [188]