NOTISI YA KIBALI CHA UJENZI WA GATI LA KUPOKEA MELI ZA MAFUTA AU GESI NA BOMBA LA KUPOKEA MAFUTA AU GESI KUTOKA KWENYE GATI HADI KWENYE GHALA LA MAFUTA AU GESI KWA KAMPUNI TAIFA GAS TANZANIA LIMITED YA MWAKA 2024. TANGAZO LA SERIKALI NA. 770
Abstract
Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kibali cha Ujenzi wa Gati la Kupokea Meli za Mafuta au Gesi na Bomba la Kupokea Mafuta au Gesi kutoka kwenye Gati hadi kwenye Ghala la Mafuta au Gesi kwa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited ya Mwaka 2024.
Collections
- Subsidiary Legislation [137]