JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA KUMI NA MOJA
dc.contributor.author | OFISI YA WAKILI MKUU | |
dc.date.accessioned | 2024-08-28T10:25:40Z | |
dc.date.available | 2024-08-28T10:25:40Z | |
dc.date.issued | 2024-04-01 | |
dc.description.abstract | Tarehe 04 Aprili, 2024; Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Mhe. Dkt. SamiaSuluhu Hassan alimteua Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Edward Mtulo kuwa NaibuWakili Mkuu wa Serikali ambapo tarehe 28 Aprili, 2024 aliapishwa. Kuteuliwa kwa Bi. Mtulo kushika nafasi hiyo inadhihirisha kuwa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali inaendelea kulea na kuandaa Viongozi wanaoweza kufanya kazi kwa weledi na kuchapa kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuiletea nchi yetu maendeleo. | en_US |
dc.identifier.issn | 2820-2686 | |
dc.identifier.uri | http://elibrary.osg.go.tz/handle/123456789/1379 | |
dc.publisher | OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI | en_US |
dc.subject | JARIDA | en_US |
dc.subject | TOLEO LA KUMI NA MOJA | en_US |
dc.title | JARIDA WAKILI MKUU: TOLEO LA KUMI NA MOJA | en_US |
Files
Original bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- Jarida la Wakili Mkuu toleo la 11 (1).pdf
- Size:
- 5.33 MB
- Format:
- Adobe Portable Document Format
- Description:
License bundle
1 - 1 of 1
Loading...
- Name:
- license.txt
- Size:
- 1.71 KB
- Format:
- Item-specific license agreed upon to submission
- Description: