The United Republic of Tanzania

Office of the Solicitor General

e-Library

HOTUBA YA WAKILI MKUU WA SERIKALI DKT. ALLY POSSI AKIFUNGUA MAFUNZO YA MAWAKILI WA SERIKALI, JIJINI ARUSHA.

dc.contributor.authorDkt. Ally Possi
dc.date.accessioned2026-05-20T08:35:23Z
dc.date.issued2026
dc.description.abstractKupitia mafunzo haya, tunalenga kuimarisha uwezo wa Mawakili wa Serikali ikiwemo usimamizi wa mikataba ya ujenzi na manunuzi, sheria za anga, sheria za kodi, sheria za kodi katika sekta ya mafuta, usuluhishi na uendeshaji wa mashauri katika mabaraza mbali mbali. Hii ni hatua muhimu ya kuandaa Mawakili ambao si tu wataendesha mashauri kwa ubora bali watazuia na kulinda maslahi ya Serikali tangu hatua ya awali ya uandaaji wa mikataba, usimamizi wa mikataba, usuluhishi wa migogoro kabla na baada ya kuwasilisha shauri katika mahakama au mabaraza
dc.identifier.citationPossi, Ally (2026) HOTUBA YA WAKILI MKUU WA SERIKALI DKT. ALLY POSSI KUFUNGUA MAFUNZO YA MAWAKILI WA SERIKALI WA KUTOKA WIZARA, IDARA, TAASISI ZA SERIKALI, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA WA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR, JIJINI ARUSHA.
dc.identifier.urihttps://elibrary.osg.go.tz123456789/4408
dc.language.isoother
dc.publisherOSG
dc.titleHOTUBA YA WAKILI MKUU WA SERIKALI DKT. ALLY POSSI AKIFUNGUA MAFUNZO YA MAWAKILI WA SERIKALI, JIJINI ARUSHA.
dc.typeVideo

Files

Original bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
-Kupitia mafunzo haya, tunalenga kuimarisha uwezo wa Mawakili wa Serikali ikiwemo usimamizi wa mikataba ya ujenzi na manunuzi, sheria za anga, sheria za kodi, sheria za kodi katika sekta ya mafuta, usuluhishi na uende.mp4
Size:
10.84 MB
Format:
Video MP4

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections