AMRI YA MSAMAHA WA KODI YA MAPATO KATIKA MRADI WA UJENZI WA BARABARA KUU YA SHELUI - NZEGA NA SONGWE - TUNDUMA KWA KAMPUNI YA M/S NORCONSULT INTERNATIONAL AS, YA MWAKA GN: NO. 307 OF2024
Loading...
Date
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
GOVERNMENT PRINTER DODOMA
Abstract
Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Kodi ya Mapato katika Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kuu ya Shelui - Nzega na Songwe - Tunduma kwa Kampuni ya M/S Norconsult International As, ya Mwaka 2024 na itachukuliwa kuwa imeanza kutumika tarehe 28 Disemba, 2023.

