AMRI YA MSAMAHA WA KODI YA MAPATO KATIKA MRADI WA UJENZI WA BARABARA KUU YA SHELUI - NZEGA NA SONGWE - TUNDUMA KWA KAMPUNI YA M/S NORCONSULT INTERNATIONAL AS, YA MWAKA GN: NO. 307 OF2024
Abstract
Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Kodi ya Mapato katika Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kuu ya Shelui - Nzega
na Songwe - Tunduma kwa Kampuni ya M/S Norconsult International As, ya Mwaka 2024 na itachukuliwa kuwa imeanza kutumika tarehe 28 Disemba, 2023.