Browsing LEGISLATIONS by Title
Now showing items 1-20 of 583
-
THE ACCESS TO INFORMATION ACT, ACT NO. 6 OF 2016.
(GOVERNMENT PRINTER DAR ES SALAAM, TANZANIA., 2016-09-30)An Act to provide for access to information; to define the scope of information which the public has the right to access; to promote transparency and accountability of information holders; and to provide for other related matters. -
THE ACCOUNTANTS AND AUDITORS (REGISTRATION) (AMENDMENTS) , ACT NO. 7 OF 2021.
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA,TANZANIA., 2021-10-11)An Act to amend the Accountants and Auditors (Registration) Act, Cap. 286 with a view to making better provisions for the regulation of accountants and auditors. -
THE ACCOUNTANTS AND AUDITORS (REGISTRATION) ACT, (CAP. 286) GN: NO. 1 OF 2024
(GOVERNMENT PRINTER, 2024-01-05)These Rules may be cited as the Accountants and Auditors (Appeals Board) Rules, 2024. -
THE ADMINSTRATOR GENERAL( POWERS AND FUNCTIONS) ACT
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2002-01-01)This act may be cited as administrator- General (power and functions) Act -
Advocates Act
(2019-11-30)An Act to provide for the law relating to advocates and for connected matters -
The Advocates Act (CAP. 341 R.E 2019)
(Government Printer, 2019)An Act to provide for the law relating to advocates and for connected matters. -
The Airport Service Charge Act (CAP. 365 R.E 2019)
(2019)An Act to impose a charge upon passengers on embarking Aircraft at Airports -
AMRI YA KUANZISHA MASJALA NDOGO YA MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 50 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-24)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kuanzisha Masjala Ndogo ya Mahakama ya Rufani ya Tanzania katika Mkoa wa Dar es Salaam ya Mwaka 2025. -
AMRI YA KUANZISHA SHOROBA YA WANYAMAPORI NYERERE – UDZUNGWA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI NA. 226
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-04-04)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kuanzisha Shoroba ya Wanyamapori Nyerere-Udzungwa ya Mwaka 2025. -
AMRI YA KUPANDISHA HADHI HALMASHAURI YA MJI WA GEITA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 84
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-07)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupandisha hadhi Halmashauri ya Mji wa Geita ya Mwaka 2025. -
AMRI YA KUPANDISHA HADHI HALMASHAURI YA WILAYA YA RUFIJI YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 83
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-07)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kupandisha Hadhi Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ya Mwaka 2025. -
AMRI YA KUREKEBISHA MAKOSA YA KIUCHAPAJI KATIKA SHERIA YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2025 ,TANGAZO LA SERIKALI NA. 73
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-02-02)Amri hii itajulikana kama Amri ya Kurekebisha Makosa ya Kiuchapaji Katika Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2025. -
AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA KUANZISHA MASJALA NDOGO ZA MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 51 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-24)Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Kuanzisha Masjala Ndogo za Mahakama ya Rufani ya Tanzania ya Mwaka 2025 na itasomwa pamoja na Amri ya Kuanzisha Masjala Ndogo za Mahakama ya Rufani ya Tanzania ya ... -
AMRI YA MSAMAHA WA KODI YA MAPATO KATIKA MRADI WA UJENZI WA BARABARA KUU YA SHELUI - NZEGA NA SONGWE - TUNDUMA KWA KAMPUNI YA M/S NORCONSULT INTERNATIONAL AS, YA MWAKA GN: NO. 307 OF2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-04-26)Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Kodi ya Mapato katika Mradi wa Ujenzi wa Barabara Kuu ya Shelui - Nzega na Songwe - Tunduma kwa Kampuni ya M/S Norconsult International As, ya Mwaka 2024 na itachukuliwa kuwa ... -
AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KATIKA KEMIKALI YA ETHANOL INAYOTUMIKA KUZALISHA LADHA ZA KAHAWA, KOKOA NA VANILA KWA KAMPUNI YA NATURAL EXTRACT INDUSTRIAL LIMITED YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 63
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-31)Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa katika Kemikali ya Ethanol inayotumika katika Mradi wa Kuzalisha Ladha za Kahawa, Kokoa na Vanila kwa Kampuni ya Natural Extract Industrial Limited ya Mwaka ... -
AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KWA GARI MOJA LINALOINGIZWA NCHINI NA WAWAKILISHI WA SHIRIKA LA WAKIMBIZI DUNIANI NCHINI TANZANIA YA MWAKA 2025 TANGAZO LA SERIKALI Na. 40 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-24)Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa kwa Gari Moja linaloingizwa na Shirika la Wakimbizi Duniani nchini Tanzania ya mwaka 2025 itachukuliwa kuwa imeanza kutumika tarehe 31 Oktoba, 2024. -
AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KWA MAGARI MATANO KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI KWA KAMPUNI YA EAST AFRICAN CRUDE OIL PIPELINE LIMITED YA MWAKA, GN: NO. 325 OF2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-04-26)Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa kwa Magari Matano kwa ajili ya Utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kwa Kampuni ya East African Crude Oil Pipeline Limited ya mwaka ... -
AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KWA MAGARI MATANO KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI KWA KAMPUNI YA EAST AFRICAN CRUDE OIL PIPELINE LIMITED YA MWAKA, TANGAZO LA SERIKALI NA. 325 LA 2024
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2024-04-26)Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa kwa Magari Matano kwa ajili ya Utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kwa Kampuni ya East African Crude Oil Pipeline Limited ya mwaka ... -
AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KWA MAGARI MAWILI YANAYOINGIZWA NCHINI NA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) KATIKA MRADI WA KUJENGA USTAHIMILIVU WA BIONUAI YA MISITU DHIDI YA MATISHIO YA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI YA MWAKA 2024 TANGAZO LA SERIKALI Na. 39 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-24)Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa kwa Magari Mawili yanayoingizwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Mradi wa Kujenga Ustahimilivu wa Bionuai ya Misitu dhidi ya Matishio ya ... -
AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA WA MAGARI 5 YA MRADI WA USAID - AFYA ANGU WA M/S DELOITTE CONSULTING LIMITED, TANGAZO LA SERIKALI Na. 41 LA 2025
(GOVERNMENT PRINTER DODOMA, 2025-01-24)Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa wa Magari 5 ya Mradi wa USAID - Afya Yangu wa Deloitte Consulting Limited na itachukuliwa kuwa imeanza kutumika kuanzia tarehe 11 Oktoba 2025.