TAMKO LA SHUGHULI ZA RAIS KUANZISHA NA KUTUNUKU NISHANI LA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 264
Abstract
KWA KUWA, kifungu cha 4 cha Sheria ya Shughuli za Rais, Sura ya 9, kinampa mamlaka Rais kuanzisha na kutunuku Nishani na Tuzo; NA KWA KUWA, Rais anakusudia kuwatunuku Nishani watu ambao ameridhika kwamba kwa vitendo na mienendo yao wamejipatia sifa na umaarufu unaostahili kutambuliwa kwa namna fulani;
Collections
- Subsidiary Legislation [240]