HATI YA UHAMISHO WA UMILIKI WA JENGO LILILOSAJILIWA KWA JINA LA HALMASHAURI YA BIASHARA YA NDANI (BIT) KWENDA BARAZA LA RUFANI ZA KODI (TRAT) NA BODI YA RUFANI ZA KODI (TRAB) YA MWAKA 2025 ,TANGAZO LA SERIKALI Na 111
Abstract
KWA KUWA, kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka na Majukumu ya Msajili wa Hazina ikisomwa pamoja na Sheria ya Mashirika ya Umma, mali zote za Serikali zimewekwa chini ya Umiliki wa Msajili wa Hazina;
Collections
- Subsidiary Legislation [214]