HATI YA UHAMISHO WA VIWANJA VINAVYOMILIKIWA NA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA KWENDA KWA JUMUIYA YA KIDINI YA KHOJA SHIA ITHNA ASHERI JAMAAT YA MWAKA 2025 , TANGAZO LA SERIKALI Na. 110
Abstract
KWA KUWA, kwa mujibu wa Sheria ya Mamlaka na Majukumu ya Msajili wa Hazina ikisomwa pamoja na Sheria ya Mashirika ya Umma, mali zote za Serikali zimewekwa chini ya umiliki wa Msajili wa Hazina;
Collections
- Subsidiary Legislation [214]