NOTISI YA KUSUDIO LA KUTANGAZA MAPENDEKEZO YA KUBORESHA MALIPO YA FIDIA YA KILA MWEZI KWA WANUFAIKA WA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 64
Abstract
Notisi hii itajulikana kama Notisi ya Kusudio la Kutangaza Mapendekezo ya Kuboresha Malipo ya Fidia ya Kila Mwezi kwa Wanufaika wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi ya Mwaka 2025.
Collections
- Subsidiary Legislation [205]