AMRI YA MSAMAHA WA USHURU WA BIDHAA KATIKA KEMIKALI YA ETHANOL INAYOTUMIKA KUZALISHA LADHA ZA KAHAWA, KOKOA NA VANILA KWA KAMPUNI YA NATURAL EXTRACT INDUSTRIAL LIMITED YA MWAKA 2025, TANGAZO LA SERIKALI Na. 63
Abstract
Amri hii itajulikana kama Amri ya Msamaha wa Ushuru wa Bidhaa katika Kemikali ya Ethanol inayotumika katika Mradi wa Kuzalisha Ladha za Kahawa, Kokoa na Vanila kwa Kampuni ya Natural Extract Industrial Limited ya Mwaka 2025 na itachukuliwa kuwa imeanza kutumika tarehe 2 Disemba, 2024.
Collections
- Subsidiary Legislation [205]