SHERIA YA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA YA MWAKA 2025
Abstract
Sheria hii itajulikana kama Sheria ya Shirika la Utangazaji Tanzania ya Mwaka 2025 na itaanza kutumika tarehe ambayo Waziri atateua kwa notisi itakayochapishwa katika Gazeti la Serikali.